MPANGO WA KANDO

kitela5

New Lister
WEWE DADA AMBAYE UNATEMBEA NA MUME WA
MTU NJOO HII YA KWAKO
kama unatembea na mume wa mtu fata maelezo
yafuatayo nguruwe wewe.
1. akikupigia simu pokea alafu subiri aanze
kuongea yeye maana labda aliekupigia mkewe,
kenge wewe
2. musizoee kuingia guest moja kila munapokutana
maana watu watawachora na kutoa taarifa, mbwa
wewe
3. mukiingia guest musiandikishe majina yenu
halisia, paka wewe
4. ukimpigia simu akakata usipige tena labda yupo
na mkewe, kuku wewe
5. usipende kumtumia sms za kimapenzi kila mara,
bata wewe
6. mkewe hata akisafiri usiende nyumbani kwake,
kunguni wewe
7. mkewe hata akisafiri usimruhusu alale kwako
muambie akalale kwake, ngedere wewe
8. kama jirani yako usimzoee sana watu
watawastukia, mjusi wewe
9. usipende kupiga nae picha na kupost mtandaoni,
fisi wewe
10. mahusiano yako musimshirikishe shoga yake
wala rafiki yako, nyani wewe
11. usitembee na mume wa mtu tafuta wa kwako,
nguchiro wewe
 
JazzMan

Elder Lister

Hapa kwenye seneti hatutaki umbeya wa mitaani. Pitisha kinyambis hapa, hatutaki kuona kupe ulizobeba

717px-Cattle_tick_treatment.jpg
 
Top