Size gani ? Niko na NEC 24 inch with HDMI , dvi , displayport and VGA .Wadau niko kwa market sourcing for a good PC Monitor kwa bei ya mkulima mdogo. Nipeeni directions naweza zi pata na bei. TIA
Niaje jamaa wa Moi Avenue?Size gani ? Niko na NEC 24 inch with HDMI , dvi , displayport and VGA .
Bei ya asubuhi 8k
Kuja inbox tuma bidhaa nikagueSize gani ? Niko na NEC 24 inch with HDMI , dvi , displayport and VGA .
Bei ya asubuhi 8k
Niko poaNiaje jamaa wa Moi Avenue?
Sawa, check inbox ndio uone kama it suits your requirements.Kuja inbox tuma bidhaa nikague
Nilinunua hizi mbili, sasa nachangia HP Zbook 15 nijaze internet na content ya maana.Size gani ? Niko na NEC 24 inch with HDMI , dvi , displayport and VGA .
Bei ya asubuhi 8k