Mlichezwa Nanii

Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Nakaanga hivi nacheka nikikumbuka vile watu walikuwa wameogopa, ati journalist anafunga virago kwenda kupimwa corona incase ako nayo harudi nyumbani, ati wamefungiwa kanairo hawawestoka na pale kwa D- ilikuwa zawadi ya 500 pekee. Ati mtoto wa Kagwe ako na bash lakini wewe huwekuwa na bash. Ati ukidungwa castration hautavaa mask tena na huwespatwa na homa. Na watu kwa serikali being forced to contribute to corona kitty liwe liwalo. Nachekanga sana
 
The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member

Wanafungua hoteli, kisha mutahi anakasirika na anasomea majamaa wakienda kununua chai, na chungwa
 
Top