MBONA ULIHAMA KTALK?

Mi sina reason conc ..wasee wa miaka yangu walitoka ..mi nikatoka

as arabs we dont zurura ovyo ovyo ..tunapenda stability ..thats why tunaweza fanya biashara ya juice na vitamu for 50yrs, tukikufa tunawachia our children ..who leave to their children

biashara hiyo hiyo ya juice na vitamu ..na tunapeleka watoto ng'ambo na hiyo hiyo biashara

1573469367923.png


I now ask myself, what if klist admin wawe wapuzi ka wa the other side? Tutaenda wapi...

wewe mbona ulitoka? uliwashwa mcoondu nini?

ukiwashwa mcoondu unajikuna tu na index finger

usikimbie
 
Top