Masaibu ya Mongrel

Kuna time Mongrel alikuwa anatafta mtu wa ku Nurse his wounds ndio wa build a healthy relationship pamoja, after years of searching and being Patient enough akapata dem flani Daktari. Na si unajua sio Calendar pekee huwa na Dates, so kama Optician they started seeing each other.

Ninja alikuwa ana amini talking stage ikiwa more than one week hiyo ni podcast, so akaamua kucheza ka heart surgeon akafungua roho.. akadai he can Treat her right if she's sick of heart breaks. Dem naye alikuwa Open minded ka neurosurgeon akadai the feelings is mutual.

Arif akajishindia dem Daktari, alafu alikuwa dem Mkamba so waka Funga ndoa. What all the Ropes in the world couldn't do a Kamba girl did, they Tied the Knot. Hakutaka ku waste time na local weddings ndio watu uninvited wakule pilau njeri, so walienda kwa AG ku exchange vows.

Marriage life was fun at first but ikafika point vitu zika change. Kuoa a career woman was difficult juu alikuwa commited kwa job and wifely duties came second. Arif alikuwa ana expect conjugal rights kila siku but Daktari alikuwa anarudi home tired from saving lives.

Arif aka feel wife ni stima na ye ako powerless, conjugal rights ni once a month ka Token of appreciation. Akatafta mpango wa Candle ndio akikuja na Cable anapewa Head... wife akidhani ako wax jamaa ako lodging mahali anakuwa blown out kama birthday candle.

Kuna siku akiwa bar drinking akapata dem flani improved kienyeji, ako na luku ya Kitisuru lakini tabia ni ya Lumumba Drive. Dem slim thick na kinyambizi sio mingi na sio kidogo lakini imejaza suruali, chakula ya mtoto nayo akabarikiwa bila kipimo anaweza fungua milk bar.

Ninja aka approach dem akatupa lugha, alikuwa na a convincing lie why he's a better guy than all the other guys she's ever met and it worked. Walikuwa willing ku make bad decisions so Arif akamsho anaweza chukua room waende wajuane kimwili. Dem akamsho achukue room atakuja.

True to her Word, dem aka Access room, Lodging ilikuwa ina Excel in client satisfaction design walikuwa wame Spreadsheets kwa bed, security ilikuwa tight pia coz lazima ulipe Bill kwa Gate uki check in. Rooms zimeona ma-liars wengi wa ndoa zinaweza pea Steve Job ya kuweka Siri.

For the first time in his dating life jamaa akapewa sehemu telezi on his first date, una meet dem leo alafu unarudi home kama mmejuana nje na ndani, unamjua physically and emotionally, verbally and sexually, una order food unaikula hapo hapo on the spot.

From then on dem akakuwa regular, alikuwa one phonecall away from recieving pipe like a Kikuyu Pipes hardware. Jamaa akadanganya side chick yeye ni Main, akiskia nyege zimepanda anatuma text ya "You're the Apple of Mayais" ndio jioni a get laid.

Kuna siku Arif aka arrange the usual clandestine meeting, alikuwa na kiu kabisa na alitaka kukula Mali yake pole pole weekend mzima so akaambia wife anaenda Naivasha team building, wife akamwish journey mercies and our Kitombi knew that was his queue. Lodging direct.

Arif alikuwa allergic to naked women, akiona dem uchi mlingoti husimama wima kama Askari jeshi kwa parade. Akaamua kuomba haki yake juu hakuchua room walale tu fwaa hadi asubuhi kama mabrathe, lazima sheets zichafuliwe ndio cleaners wapate kazi ya kufua.

Jamaa alitaka kupiga mechi ya kimataifa so akameza blue pill kuongeza nguvu za kiume juu hakutaka kuangusha clan mzima, mlingoti ilikuwa up in the air kama missile... Alafu Dem akamsho ananyesha!Imagine unateka Shiro unapata ako na mashiro... Blood flow yote ilikuwa imetoka kwa kichwa inafikiria ikaenda kwa kichwa yenye haifikiri. Kwa wale mnaelewa Supply Chain basi arif alikuwa ready to deliver goods but the consumer was not ready to recieve.. Kitumbua kikakosa mlaji.

Alafu juu the devil is a liar, Jamaa akapata heartattack. Dem aka panicki juu waliona akiingia na Arif so yeye ndio prime suspect. so akaenda kwa receptionist apate usaidizi. Uzuri walikuwa wame experience such cases na walijua the best hospital.

Jamaa alikuwa almost kuenda kwa Baba na haja cum to a conclusion, imagine uingie the corridors of heaven with a hard dick... Una confuse Angel Gabriel kwa gate anadhani you're armed and dangerous anakutuma hell.

Wakakimbiza Arif hosy, mjulus ilikuwa bado up in the air ungedhani wana transport missile warhead. Alikuwa in a critical condition so akakimbizwa emergency room, mistress alikuwa bado kwa panic mode haku realize amekuja hosy akiwa half naked holding our pal tight with worry.

Nurse wakaita doctor on duty akuje, uzuri kulikuwa na mmoja amekuja Nightshift coz hana anything better to do at home na anapenda job yake, aka attend to our pal and guess who was shocked. Imagine being patient in marriage just to find out the patient your attenting to cheated in marriage. Now you have the option to save him or let him meet his maker... unadhani umeoa Bread Winner kumbe umeoa mtu atakuletea Yeast infections.

Arif alidhani love is blind hawatamuona aki cheat and he started seeing other people but one wrong move aka discover love sees everything coz bibi yake ndio alikuwa Daktari kwa Emergency Room aki ensure ICU.

He got Sick of being Patient in marriage, akameza Viagra during cheating and now he was Admitted as a Patient in a hospital where his wife is a Doctor. The irony... His manhood still erect ikiwa in the line of duty with his half naked side piece was enough proof of cheating.

Arif alijiona Solomon but with one wrong move akageuzwa Solo man. Unadhani umepata kumbe umepatikana. This life has no balance, wale wameoa wanataka kuwa single na wale wako single wanataka kuoa... Jipende kwanza ndio utafte mtu wa kukupenda.
 
Field Marshal

Elder Lister

Absolutely brilliant. Kama huyu jamaa angekuwa na a good creative editor this would be world-beating...
 
Top