Masaibu ya bratha emali

emali

Chief Lister
Kuachilia kijana mdogo wa miaka 18 ng'ambo ni balaa..
Braza ndege alikua anazionea pale kwa kamlima karibu na emali township..
Fast forward a few months..braza akajiapata ulaya..best grades kcse..but do i say..
Sasa pale kwa airport..braza akapeana hata akala zake...akijua eti pale ulaya maisha ni randan ...
Braza kapigwa na butwaa alipowasili...ile pesa ya harambee ya wanaemali ikaisha within weeks..
Braza lakini ameishi karioshada..ulaya itamlemea aje..braza akashikilia kidosho chenye mfuko mzito..braza akawa amewekwa...masaibu

Katarzyna alikuwa mdem mzuri sana..mattercore ya kiufrika..tabia za kupendeza..very beautiful.. from a very rich family.. within a few weeks of knowing each other, i moved in, free rent, and for a while lived a good life..
Shetani lakini halali, Kasia's best friend lived a short walk away..she was a single mom, her kids dad was a very wealthy gentleman who bought her a house and paid maintenance just to keep her from exposing him..alikuwa na bibi na watoto na exposure kama hiyo ingemuangusha vibaya...

Sasa hii kidosho always called on me to help with those masculine jobs in the house..siku moja nikaenda kufix kitanda yake, literally, nikakuta mtu bado yuko in sleeping gear..yani suruali na see through tshirt....she looked good ..very good..those small tits standing at attention.. alafu that smile..ilikuwa ya kualikwa..niakaona hapa nita regret if i don't..mimi kama yule jamaa..nika omba nionjee..masaibu...nikatupwa njee mbio sana..
Wanaojua emali watakuambia vile kule hakuna 1/8 plots shamba ni in hundreds of acres..lakini braza emali akajipata homeless at the tender age of 18
 
Mongrel

Hatutaki mehemehe mob, ulionja ama LA? Na evidence ni muhimu sana
tenor-2.gif
 
Top