Adult(18+) Mapenzi yalinikoroga kinoma.

How many love this story

  • Me

    Votes: 1 100.0%
  • Not sure

    Votes: 0 0.0%
  • Not me

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .

Fantasy Kid

New Lister
Alikuwa mrembo kwelikweli. Binti wa uswahilini asiye na doa wala toa. Ngozi yake iliwatia wanaume kiwi machoni,kila alipoenda kukoga mtoni.

Agnes alijua kwamba urembo wake ulikuwa unatuzuzua. Alijua kwamba alipendwa na wengi, hivyo basi akazidisha madaha yake. Kumwomba hata maji ilikuwa taabu.

Lakini nani asiyejua kwamba samaki huvuliwa? Kim ndiye aliye mroga kwa penzi na kumlimbikizia mimba na baadae kutoroka. Agnes hangedhubutu kuitoa kwani angelijishushia hadhi mwenyewe.
 
Top