JazzMan
Elder Lister
Nilikuwa naona leo Tuchel itabidi aulize Mourinho/Di Matteo aliwacha basi ya Chelsea it will be needed today.
Alas, Man City kumbe ndio wanatembezwa. Hiyo mviringo ya Mid na Defence wanazungusha akina Fernandinho na kuwapa Ziyech na Werner space kwa wingi.
64 mins in CHE 1 - 0 MCI