Mamba

Meria

Elder Lister
Staff member
IMG_20211116_171313_279.jpg

👆👆👆Today, a baby Crocodile was found in a Pool at a Nyali Residence. It was quickly rescued and taken to Mamba Village by KWS.
 
Eti food, hii kitu siwezi jaribu hata kuguza.
Wacha niwapee hekaya...
About 2005 nilikuwa works Kisumu we had saved with a few friends tukaenda Mombasa kuoga na maji ya chumvi na kupatia mwili pole. Tukiwa tumebakisha a few hours to board, jaMaa akakuja with a great idea eti for our last day lunch/dinner kabla tuingie Scandinavia kurudi Kisumu twende tukule crocodile buffet 0723781464 Mamba Village.
The team was very excited and quickly agreed. Tushapack mizigo mbio can ndio hiyo, Mamba Village. Tumeitisha nyama ya mamba, but hapo kitu ikanishow Mimi na kuwa ja-adwen (Adventis), nikapona hii kitu ni Haram so nikaitisha kuku na starch.
maboys wakanicheka huku wakijichocha vile wao ni bad boys. Tukameza food, tukatudua bags tukafululiza kwa stage kama tumeshiba na kuingia bus ya kurudi lakeside town.
THe journey was ok, tukapita Nairobi at about saa nne usiku by about saa nane tuko Nakuru. Hapo ndio shida zilianza, one of the guys (for now call him Ochi), akaanza kutokwa na jasho. Akaanza kucomplain eti anahisi pande moja kichwa kinachomeka. Anaskia kujikuna. Juu alikuwa amebeba stock yake ya brandy, vijana wakamwambia atulize na maji.
kufika Kericho tukaea na pitstop ya 15 min. Tukaingia kunyora. Kuangalia jamaa uso imekuwa black pande moja na imeanza kuwa na pimples kubwa za black... Tukashtuka... But tukaji console na kusema pengine alitembelewa na Nairobi fly.
Kufika ahero jamaa anasema kichwa kinachemka side moja. Kumwangalia kichwa ni black, imefura hadi macho imejifunga haoni na macho side ya left.
Tukaanza kuogopa... Vile bus ilipiga brake kwa stage tukamwingiza can mbio hadi AKUH.. Vile aliingia A&E nurses walikuwa wanaangalia kwa umbali nobody wanted
After tests ilisemekana he reacted with something he had very recently eaten. Which he could only pinpoint as the steak ya croc...
And that's how I knew ukila mamba there's a chance that you would start looking like a burukenge...
He got discharged after four days, but to date his face has two colors
 
Top