Madhara ya COVID-19

KenyaAsili

New Lister
Kuanzia mwezi Machi mwaka huu wa 2020, maisha yamebadilika sana kutokana na gonjwa la Covid-19. Maana wakenya wengi haswa wale wa mijini, ukiwauliza watakuambia mengi tu kwa sababu wengine waliamua kufanya kazi ambayo hawakuzipenda. Ukija kwa Dada zetu ndio utagundua wao walikosa namna na kuamua kujipendekeza kwa wenzao wa kiume wenye uwezo. Wanaume wenye uwezo nao wakaona ndio mwanya wa kuwatumia vibaya hawa Dada zetu, na kuwatema kimadharau bila kujali. Ifikapo katika ya mwaka 2021, huenda wanawake wenye umri mdogo wakaajiwa watoto ambao itabidi walee kwa majukumu yao bila kusaidiwa wala kuwaona walio watunga mimba. Na hayo ndio yatakuwa baadhi ya madhara ya Covid-19
 
Top