Wadau, juu githaa imefika, I know where I can get a beef burger, chicken Burger and Pork Burger hapa kanairo...
Lakini. Ni wapi mtu awaweza pata fish Burger?
Lakini. Ni wapi mtu awaweza pata fish Burger?
Actually, I had wondered where that fish and chips saying came from, kumbe it was an actual meal?Fish and chips died in the early 90s 'nostalgia'. Kwa watu waku come, before chips and chicken fish and chips was the go to in town. The other place you could find this was at the drive in cinemas, Bellevue had some delicious stuff.
Ukipata hiyo mahali untafuta, share hapa hata sisi we go try...
Na usisahau kuweka rivetsNakula mukimo, kachumbari na mango Chuis hapa railway Mombasa town nkingoja jalopy imalizwe kufanya and identity na Tint.
Hii hata emblem sidhani inauzika rahisi.. But lazima iwekwe rivet, this is kenyaNa usisahau kuweka rivets
Yep, came from UK, where it's an actual staple.Actually, I had wondered where that fish and chips saying came from, kumbe it was an actual meal?
I find such meals juvenile for adult men. Kula mara,thufu, njahi,liver etc and occasional chips mwitu when the cravings strikeWadau, juu githaa imefika, I know where I can get a beef burger, chicken Burger and Pork Burger hapa kanairo...
Lakini. Ni wapi mtu awaweza pata fish Burger?
Bone marrow na ugali... Tumbukiza...I find such meals juvenile for adult men. Kula mara,thufu, njahi,liver etc and occasional chips mwitu when the cravings strike
Those are snacks to clean the teeth when no real meal is availableI find such meals juvenile for adult men. Kula mara,thufu, njahi,liver etc and occasional chips mwitu when the cravings strike
@Ngimanene na Muchere this lady is totally after your heart...I find such meals juvenile for adult men. Kula mara,thufu, njahi,liver etc and occasional chips mwitu when the cravings strike
Shida ni vile hanionangi kama sponsor nimpeleke Green Spot@Ngimanene na Muchere this lady is totally after your heart...
Green spot ni mahali pa kupeleka mtu kweli?Shida ni vile hanionangi kama sponsor nimpeleke Green Spot
Sindio, lazima nikule nyama ya Green Spot na Pilsner yao, nitakupeleka kfc uchukue kukuGreen spot ni mahali pa kupeleka mtu kweli?
Tunaweza beba takeaway twende rumu ndio mimi nipate pesa yanguSindio, lazima nikule nyama ya Green Spot na Pilsner yao, nitakupeleka kfc uchukue kuku