Lodwar Town

Riva

Lister
wapi TV, ama huko hakunanga signal ya Signet?
naweza nukisha kitunguu ya saterite.
and then why do all rooms have a copy of the bible, wanafikilia nani husoma? ama hii mtindo ilianza wapi?
Haha maybe so that kama umeleta bibi ya wenyewe you say a final prayer just in case mwenyewe comes to finish you…. huku hakuna bible, but kuna TV, only I’m unable to attach a video,
 
Top