Kumbe huku ndii mlitorokea?

JazzMan

Elder Lister
Haaaa! Huku ndio uko.... Last time I saw you ulikua uko na emotions kazi ni kutusi watu tu.

Nimejisugua hadi nikatakata kabisa.
Watu wakipewa maneno walikuwa wanacatch wanaanza umama na matusi wakidhani hao ndio wako na monopoly. Singebembeleza nyang'au. Bonobo lazima itiwe adabu.
 
Top