Kitu Gani ushafanyia mtu ukidhani atakushukuru lakini wapi (ungrateful people)

Tommyleesparta

New Lister
kuna heka nilipeana sometime back.
nilikuwa kwa matatu nikishuka nikaona simu kwa kiti nikaichukuwa juu hao makanga nilijuwa hawawezi rudisha.
kutoka nayo ilikuwa na unlock pin so sigeweza ku access anything, waited hadi mtu apige simu

simu kupigwa nikamuelezer the caller kuwa nimeokota simu kwa matatu kama unaweza reach the owner anipigiye na my number, nikamuliza kama ako na kalamu andike my number.

mimi nadhani am doing the right thing ati nikipeana simu blessings will follow me:D

after a while jamaa ikanipigia nikamshow mimi niko based town near posta, kama simu ni yako nitakupatia, after like an hour jamaa ikapiga tena kuwa iko posta,nikamshow nakuja apo...mimi nikaenda vizuri kupatiana simu,nikapataa jamaa mukorino nikamshow nili-ipataa kwa seat ya matatu, jamaa kumpatiya simu niliskia nimeshikwa na kuwekwa pingu na jamaa hazina uniform...hadi central police station

saa iyo ata job sikuwa nimefunga juu nilijuwa ni kitu ya dakika mbili

nikafanywa interrogation na izo mbwa for over 30 mints
nikawauliza kama nili pick pocket si nigekuwa nimezima simu yake na niuzee

karao moja akadai uyu jamaa awachiliwe tu na mzee unafaa kushukuru

mukorino akakuja nilipo ambiwa niende nikamshow wewe ni matako
nikachomoka central nikaingia tuktuk nikarudi job

sitawai jaribu kujifanya mzuri tena nikipataa simu naiwacha tu apo
 
It's Me Scumbag

Chief Lister
A girl I used to work with. Three times the boss said fire her. Three times I saved her ass. And three times I informed her of the same. Mujinga realized that it wasn't working and decided to leave but not before accusing me of sexual harassment. Stupidly she made the accusations through a voice clip. Which even the boss had problems accepting. She had a history of making wild allegations.
But I had the last laugh when I called a friend of hers and informed them that I had talked to friend who was a @Pamba 1 about those allegation and told to take the clip to the cops and lodge a formal complaint...
 
Tiger Bone

Chief Lister
1999 my cousin and his wife were traveling to the US for greener pastures, so tuka agree watatuachia their two young boys. Food , school fees and medical bills ni mimi nilikua nalipa for 6 yrs bila kuitisha hata ndururu. 2006 cousin alikuja akachukua watoto na kurudi US. Hata a simple "THANK YOU" hakusema.
 
waaaah 6 yrs is a long time bana:eek:
 
Dibbz

Elder Lister
1999 my cousin and his wife were traveling to the US for greener pastures, so tuka agree watatuachia their two young boys. Food , school fees and medical bills ni mimi nilikua nalipa for 6 yrs bila kuitisha hata ndururu. 2006 cousin alikuja akachukua watoto na kurudi US. Hata a simple "THANK YOU" hakusema.
You set yourself up here. Other peoples Children are v.v.v.very tricky situation. You take care of them for however long, but just know that the one day that they complain to their parents of ill treatment (whether Perceived or Real) is the day all your good deeds are erased from their parents memories!
 
Kasaman

Wacha relatives wa visit , kuishi under one roof apana !
It never end well.
 
Top