Je, NI UKWELI 🤣

kitela5

New Lister
Ni Ngumu sana mwanamke kuwa na Mwanaume
mmoja pia kukaa wiki mbili bila kufanya mapenzi
lazima ugonjwa wa kucheka Cheka umpate..
Lakini Mwanaume msimamo wake ni kuwa na girl
mmoja na hata mwaka bila ngono kwake ni fresh
tu..
Kweli si kweli ?
 
Top