It is smack in the centre of the chaos of Ng'ang'a's church, Kenya Poly, Railways Bus-stop though hiyo iko a bit sane, Easy Coach, Bishop Margaret Wanjiru's church, KPCU, Marikiti and Muthurwa. Hajafanyiwa poa lakini since serikali ni ya hustlers, wacha tupatane na yeye kwa Mama Mwas tukienda kibandaski lunch