Highschool part 4

Fantasy Kid

New Lister
*Life in highschool part 4🥴*



_Na pia nguo za ndani muangalie.. these students ni wakora saana_ yule mwalimu mwenye umama akasema..

Saa ndo nikashangazwa na huyu mwanaume... Halafu ujue mdomo wangu hukosangi cha kusema.. that's why am enemy of the people... *Na wenye hu wetdream* Muriiera akaangusha Ile bag yangu iliyokuwa na *CD📀📀* ... Hapo nikatoboa. . Ikabaki ile ngori ya kale kakitabu...

Mwalimu acha nkusaidie.. *utashika vitu chafu huku*

Waah, akakataa.. akajua ameninasa. Ghafla mende akatokea... *KATISO kuja uone*.. tena akanichomea *bet*🥺🥺

Na vile nlikuwa nimedunga tai _joh_😫 ..
Kijana na vile uko neat uko sure hii box ni yako... Sasa hata viota walikuwa wanacheka... Wanajuanga vizurii kuwa box hufunguliwa on Saturday morning😆 ... Katiso akiongea na mimi obviously macho Ilikuwa kwa🍒.. kumbe kako🤦🏿‍♀️🤦🏿‍♀️.. acha nisiseme... Kila kitu kalisema nilikuwa naitikia🥺 ni vile hakakuulizia stori za miti😳

Though kameiva sura na kamebeba though si saana kalikuwa na ulemavu pahali... Wacha nisikaanike vile🤗..
 
Top