Guest of the state.

Snowball

Lister
This morning nime rukiwa kama locust na pamba, just out side my gate juu ya kuvaa mask kama necklace.

it was around 8:30 hivi when i received a call from my local kinyozi who is my neighbor nika muangalilie stima yake iko na shida, he knows i tinker with electricity, nika piga chai yangu flash grabbed my tester nikatoka, kufika kwa gate Mutheu akaniita akisema sijabeba mask, nikarudi kwa nyumba nikachukua nikakwachu but hanged it on my neck nikaenda kwa kinyozi, after trouble shooting for a minute nikagundua ni fuse imeblow kwa main switch tukaandamana na mjamaa hadi kwa nyumba to get a replacement from my toolbox.

While waiting for Mutheu afungue gate nikaona a police landcruiser coming up the road slowly gafra bin vu nikaskia nimeshikwa waist band na kijanaa ilikua hapo kwa barabara, niki turn nimuulize izvpi ndio uppercut itambe nikaona ako na handcuffs akaniambia niko under arrest for not wearing a mask, kumbe ni pamba ako under cover, chieth! kinyozi kuona hivi akachomoka mbio lakini wapi, ma mwera walikua wengi pia naye akashikwa. Mutheu kufungua gate alipata tukipandishwa an already full cruiser,hakuamini macho yake cruiser wakati ilipoinuliwa naikaenda, ilibiditukariane.

mimi ata nilicheka tu, nikajiuliza what is this now, eti nime shikwa juu ya kutokuvaa mask. Haya, gari hiyooo ikafika Bamburi but instead of taking njia ya Mtambo tukapanda na njia ya kisauni nikajua tunapelekwa Dog section police station iliyoko Mshomoroni, sisi hao hadi Lights pale kuna majamaa wakuuza mchanga, the cruiser slowed down police wakashuka tena and added a few more unlucky people into the already full vehicle, wote walikua na mask but wame vaa vibaya, it was not covering the nose.

In a minute tukafika station police, instead of being taken to the cell we were hearded into a disused canteen without a single item of furniture and locked inside, atleast it had very many wide window we could see the front of the police compound.

simu yangu sikuanayo nikaomba kinyozi kadunda yake nikapigia Mutheu and informed her our whereabouts ndio asifikilie kwenda Bamburi police which was the next closest to home.

inspector mwenye alikua na hio white top Landcruiser akaja na kijikaratasi aka chukua majina yetu, we were 15 guys, akasema tufanye haraka kabla hajaita ambulance tupelekwe Coast general for quarantine, kijana mmoja aliyekua very smart na fikilia alikua anaenda date akauliza ningapi akaitwa kando wakaongea kidogo kisha akabana mlango tena akaenda, kumuuliza ni vipi akasema ameitishwa 2k.

hapo ndio nilianza kufyatuka nikiuliza 2k ya nini, legal experts nao pia wakaanza kuchangia mjadala kabla niongeze point ingine Mutheu called on kinyozis phone, akasema ametafuta number ya muarabu kwa simu amjulishe navile alikosa akapigia bibi yake mama Salma, wueh, ilibidi nianze kucheka. Kuskia hivo nikaambia kinyozi aache kushtuka tunatoka very soon.

The first to call the inspector who was hanging outside the canteen akijipa mashugli was the loverboy, we overheard what he said, eti pesa iko kwa simu, Pamba akamwambia kuna Mpesa ndani ya station he called another cop ampeleke awithdraw, hatukumonatena, tukabakiwatu14.

Kila mtu alikua kwa simu akitafuta pesa from friends apart from me and Kinyozi wangu, Four more guys received money, called the inspector and after a visit to the mpesa shop were set free.

Kukaakaa kidogo nikaona the inspector ameenda to the main police station block in kind of a hurry. to the right of our canteen was the Kisauni DCI office which was locked kumbe wanafunguaga saa nne, sikumaliza dakika tano nikaona Pamba najua nikamuita, acha anicheke, 'my fren i never thought i would ever see you in such a situation" he said, he then asked tumeshikwa na nani nikamwambia ameingia huko ndani and gave him a description, kabla hatujamaliza kuongea the inspector came very hurriedly with a worried look on his face akauliza nani anaitwa Meria nikainua mkono akasema njoo uchukue simu.

On the other end of the line was non other than a very mad Muarabu "Meria kumanina hii kinembe ya malaya unawezaje shikwa juu ya mask, ile box tatu nilikupa ulipeleka wapi, uliuza? sio. haki ya mungu nikikushika nita kufira maskio upate akili, unajua niko iddi unanisumbua na mambo ya kijinga, ambia huyo mshenzi awafungulie naawarudishe nyumbani" na akakata simu.

The inspector yule alikua mkali akitutishia kama mahabusu na story za quarantine had been cut down to size, kumbe muarabu after kupewa info na Mutheu had called the OCPD and informed him of the racket that was going on in the canteen, the top dog ndiye alikua ameita inspector kwa offisi to confirm if indeed what he was being told is true, i could see him on the second floor window akiangalia if his orders were being followed. My DCi pal kuona tukifunguliwa pia alianza kucheka, he knows muarabu very well, aka ambia inspector ukiona mtu ame vaa kinyasa nama yeboyebo ulizanga yeye ninani kwanza kabla kushika yeye, saa hio kama ninge demand a salute from the inspector angenipatia.

gari ilikua imetoka tukaigojea for 10 minutes na hivo ndivo nikarudi kuweka fuse kwa kinyozi . Afterwards nikaenda mangweni.

PS: kuna noogle tulikuanayohuko"cell" niliambia ipige picha initumie juu sikua na simu yangu na mpaka saa hii haijatuma.

nizipatapotu hivi will share.

on the Main Block kumeandikwo

K9 UNIT

@It's Me Scumbag naona unanimind sana
ulijuaje niko K9
Good hadithi, even though it takes extra brainpower to read and comprend Kiswahili. Mwarabu wako kweli ni mavi debe nzima.😝😝
 

Aviator

Elder Lister
Meria kumanina hii kinembe ya malaya unawezaje shikwa juu ya mask, ile box tatu nilikupa ulipeleka wapi, uliuza? sio. haki ya mungu nikikushika nita kufira maskio upate akili, unajua niko iddi unanisumbua na mambo ya kijinga, ambia huyo mshenzi awafungulie naawarudishe nyumbani" na akakata simu.
I like his greetings.
 

kingolonde

Elder Lister
"Meria kumanina hii kinembe ya malaya unawezaje shikwa juu ya mask, ile box tatu nilikupa ulipeleka wapi, uliuza? sio. haki ya mungu nikikushika nita kufira maskio upate akili, unajua niko iddi unanisumbua na mambo ya kijinga, ambia huyo mshenzi awafungulie naawarudishe nyumbani" na akakata simu. :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO: :ROFLMAO:.
 
Top