Gikomba On Fire

Gus Weyne

Lister
And what a better time for whoever wants this land to burn the place down than during the curfew!

Next utaskia serikali imewakataza wejenge. For now and for ever.

Kidogo-kidogo, perimeter fence.

Kumbuka wachuuzi hawawezi enda hata kotini.
 
Last edited:

Mawaya

Elder Lister
Not surprised. Sambarry has wanted the land in Gikomba for a looooong time. Siku hizi the fires happen more often, closer and closer to each other.
Am sure there are those who fail to rebuild, restock or just move to start their businesses elsewhere.
 
Ramiran

Elder Lister
Hio area ya sofasets ukipanda kuelekea NACICO building huchomeka sana.
Hako ka area ka ma sofaset na mbao karibu pedestrian bridge to NACICO plaza.

hizo moto
Am sure there are those who fail to rebuild, restock or just move to start their businesses elsewhere.
When it burns 3 times in 14 months, some have their livelihoods destroyed so completely kunabaki mtu anarudi ocha akakue destitute huko.
 
Ramiran

Elder Lister
Utapata mwenye hutaka hii shamba ako na manyumba na mabiz all over kenya na hatosheki
Sio mtu solo anataka hio land. Ni cartel mzima ya madongera type hio wana properties all over .ke
Wengi wao ni former NCC employees.
Hio foot bridge between Gikomba na NACICO plaza iko due to be reconstructed as bridge ya magari kama vile pale grogon kutoka Ngara girls hadi kirinyaga Rd
 
Ssabasajja

Constructing the bridge would be good in my opinion and Gikosh needs to be orderly for it to be beneficial to traders and city residents. Hata ile ghetto ya majengo hapo karibu na Pumwani Social Hall na mosque naona itaisha in future. Some taller structures are coming up.
 
Top