Not as scary as thismust have been real scary
Melia there is really no need to state obvious things.must have been real scary
Nyau!Melia there is really no need to state obvious things.
Saitan.
I endorse the message as is.... and the violence that follows.Melia there is really no need to state obvious things.
Saitan.
Halafu among the passengers kuwe na watu walichekelea wale wa kupanda mbukinya. Na niulise, kwani hizo props zinakuwanga za mbao ama in fibreglass?
Second pic with the propeller with a a funny looking engine is caused by an effect called roller shutter frame ( ama kitu kama iyo) pewsineer itaki nifikirie
Hiyo si effect ya curve part ya dirisha ??Second pic with the propeller with a a funny looking engine is caused by an effect called roller shutter frame ( ama kitu kama iyo) pewsineer itaki nifikirie
Ni effect trust me kuna shida ya frame rateHiyo si effect ya curve part ya dirisha ??
Hadn't even noticed that, ingekutana na mifupa/soft tissueWueeh, it went through to the other side
Ni zile ziliitwa swamp juzi, wakiangusha moja wanaita @Introvert anapaka the rest of the fleet rangi a new airline is born. 2019-2020 nilikuwa na trips kadhaa mandera na hao tu ndio wanaenda huko. Ni between hao na alshabab kwa barabaraThere are aircraft engineers pale Wilson who wouldn't let any of their family members near those crafts they work on. Hio watu wa akina bingwa.
Yes inabidi wabadilishe livery na kuendelea otherwise nobody will board. Fly540 pia ni kubahatisha. Only local with standards is Jambojet coz it's managed by KQ but wanatoboa mifuko.Hadn't even noticed that, ingekutana na mifupa/soft tissue
Ni zile ziliitwa swamp juzi, wakiangusha moja wanaita @Introvert anapaka the rest of the fleet rangi a new airline is born. 2019-2020 nilikuwa na trips kadhaa mandera na hao tu ndio wanaenda huko. Ni between hao na alshabab kwa barabara
It's called the stroboscopic effect.Ni effect trust me kuna shida ya frame rate
Boss,some people have no mental capacity....ama wacha tuMelia there is really no need to state obvious things.
Saitan.