Thanks will visit them tomorrow
Vile watu wajanja hufanya ni hivo
@upepo amesema, i e identify and get info on the product and package content online, alafu uende hizo alibhai shariff na westlands unaambiwa uone the actual product na ujue bei LAKINI usi buy.
Sasa enda river road between junction ya river road/letema road na river road/accra road ( tea room) ama Gikomba next to mt kenya H/W hio road imeteremka kuenda kwa pedestrian bridge towards NACICO plaza.
Both this places you get the exact same thing for 2 to up to 5k cheaper then uptown.
Thank me later
Next....