Kuna jamaa nimepata hapa duruma road, amelemewa kupandisha wish manual drive Kwa mlima, gari inarudi nyuma juu hajui hill start
nikaona labda ni mwizi wa gari ama ni kadynasty.
Back to the topic at hand, achunguze the seller, kuna wale wako na side hustle ya recovering the vehicle sold.