CV Referees

Dranya

Senior Lister
Mimi pia Kuna time nimewekwa Kama referee. Shida Ni ule mtu I was to refer alikuwa family friend.

Niliulizwa vile najua Shiku nikasema I know her as a hard-working individual but could not specify how hard she could work. I have only known her in the aspect of being a family friend.

Mara ya mwisho ili bidi nimeambia HR ukweli, nikamsho akitaka ampatie hiyo Kazi, na Kama Ni Mimi nimefanya akose, then I am to blame. She eventually got it
 
Top