Mututho Wa KK
Senior Lister
Weekend bila pesa imefanya nililie taifa.
Sema mapua kuwaka moto!!!!.. Machozi yenye nimetoa, imefanya nikumbuke how our grandparents were crying for their country. Nowadays mtu ni alilie pahali anaficha kichwa yake.