Sisi hatutambui hio kitu ,it's just a mere flu,Village medical experts hebu chambueni hichi kizagazaga, juu mimi sijawahi kutana wala kumjua yeyote who's been tested for Corona.
View attachment 17618
you think there is no covid ama?make people believe kuna covid.
Even mukuru sijawai ona wenye wanapima hiyo kitu na iko nailand.Muranga sijawai waona wakipima
so mutahi wameshikana mikono na watu wote duniani kudanganya wakenya eti kuna covid?... ndio maana serikali zote duniani zinafanya lockdown etc just to lie to the kenyan public ama?YES THERE IS NO COVID
I know like 4 people who have been tested at lancet ikatokea positive, but on going to agha khan they all came out negative.so mutahi wameshikana mikono na watu wote duniani kudanganya wakenya eti kuna covid?... ndio maana serikali zote duniani zinafanya lockdown etc just to lie to the kenyan public ama?
of course I don't fully believe those numbers... my only argument was that covid19 is real.. not a conspiracyThose numbers being announced everyday are not true numbers, just busy bodies running everywhere earning perdiems.
Hutuongei kuhusu Kenyans pekee it is whole world.so mutahi wameshikana mikono na watu wote duniani kudanganya wakenya eti kuna covid?... ndio maana serikali zote duniani zinafanya lockdown etc just to lie to the kenyan public ama?