Cheki Maneno, Elders' Edition II

upepo

Chief Lister
Utamu wa bike ni kutwanga 50 kilometers, miguu inasha nguvu na lazima urudi, alafu masaa yamesonga. Inabidi u-maintain speed fulani usipatikane na giza. Hapo sasa ndio adrenaline inapanda unasahau kuchoka. The next day unaumwa hadi na muscles za masikio.
 
Nattydread

That is what I called self-immolation.

I can do up to 120km but will not, because I want to detour, stop and take a close look at things, even stop and get accommodation for the night.
 
Top