Bye bye to covid

Platformer

Lister
Nasikia cases za covid zimepunguka. Few months after lockdown was lifted from some most affected counties. Nilifikiria watu watakufa kma kuku and even I blamed that act of government. Sahii naskia ati ata shule zitafuguliwa 1st October. Now my question is,,,will the student be able to cover all the syllabus before Dec . And if it's possible,,will they sit for their final exam,,,class 8 na form 4 watafanya (k )hii mwaka bado? In short ,,student waende shule January.
 
Platformer

Lister
Kwani kulikuwa na corona Kenya? Si ilikuwa kini macho wakule vizuri
Walai ,,,ata nikusahau nilisahau kuquote hapo,,,,how comes watu wanapona wakati wameacha kujikinga. Siku hizi kuona mtu na mask SI kawaida,,social gathering watu wanajazana huko kma mbosho kwa gunia ,,na hawapati Corona ,infact wanapona ,,,alafu mutahj anasema aty tukanyagie hapo 😂😂😂😂(aty kuvaa mask na kukeep distance ndo inafanya low covid cases report). Serikali nyinyi😂😂😂😂🤣
 
Eng'iti

Elder Lister
Nasikia cases za covid zimepunguka. Few months after lockdown was lifted from some most affected counties. Nilifikiria watu watakufa kma kuku and even I blamed that act of government. Sahii naskia ati ata shule zitafuguliwa 1st October. Now my question is,,,will the student be able to cover all the syllabus before Dec . And if it's possible,,will they sit for their final exam,,,class 8 na form 4 watafanya (k )hii mwaka bado? In short ,,student waende shule January.
Hatujui unauliza nani lakini naonelea kwa maoni yangu uendelee na kusikia na kufikiria tu
 
Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Walai ,,,ata nikusahau nilisahau kuquote hapo,,,,how comes watu wanapona wakati wameacha kujikinga. Siku hizi kuona mtu na mask SI kawaida,,social gathering watu wanajazana huko kma mbosho kwa gunia ,,na hawapati Corona ,infact wanapona ,,,alafu mutahj anasema aty tukanyagie hapo 😂😂😂😂(aty kuvaa mask na kukeep distance ndo inafanya low covid cases report). Serikali nyinyi😂😂😂😂🤣
Na kuna apologist huku anasema how the measures put in place worked. Kubebewa ubongo sio poa
 
Luther12

Elder Lister
Nasikia cases za covid zimepunguka. Few months after lockdown was lifted from some most affected counties. Nilifikiria watu watakufa kma kuku and even I blamed that act of government. Sahii naskia ati ata shule zitafuguliwa 1st October. Now my question is,,,will the student be able to cover all the syllabus before Dec . And if it's possible,,will they sit for their final exam,,,class 8 na form 4 watafanya (k )hii mwaka bado? In short ,,student waende shule January.
Saw this somewhere, yesterday:

Proposed dates

2nd term: 19th October 2020 to 18th December 2020

(2 weeks break)

3rd term: 5th January 2021 to 2nd April 2021

(April 2021, KCPE & KCSE)
(May 2021, Marking and Release)

1st term: June 2021 to August 2021

(September 2021, break)

2nd term: October 2021 to November 2021

(December 2021, break)
 
Top