Building Desktop

Jug

Elder Lister
Wadau give me a guide on how to maneuver the unchartered waters of PC Building, i want to build a PC. If possible state what i should look out for. Sande sana

AliExpress will sort me nimetoka kusafisha mecho uko, server imekataa niwa safishe mecho
 

JazzMan

Elder Lister
Yeah nataka kujenga
Niko kwa simu, niwie radhi nitarudi kufanya editing kwa laptop.

1. Case.

Iwe large enough for good airflow and accommodating oversized components to come later on. Iwe pia na nafasi ya fan on the top side/front for increased air flow. Kuna moja namezea inaitwa Thermaltake P5 ama unaweza angalia za Corsair.

2. Power Supply Unit:

Hapa go for something oversized, around 700-800 watts. It will depend on the system components you go for, but afadhali uwe na more power than what your system actually needs kuliko drawing next to the PSUs rated limit. Itabidi ufanya upelelezi ya efficiency na quality

3. Fans na heatsinks:

With great power comes great heat. You can choose to stick to tried and tested air cooling ama uende na liquid cooling.
Itabidi umetafuta heat sink kubwa na fan for it, halafu the case inaweza kuja na extra fans for moving air around.

Advantage ya liquid cooling ni almost zero noise. Shida ni ukiifanya vibaya, you run the risk of zapping your components. Kuna hizi self contained All in One liquid coolers pia.
Thermal paste muhimu. A small dab ya Arctic Silver ama Thermal Grizzly works better than these kawaida thermal paste kama hy-510

4. Motherboard:
Hapa ndio mambo yote. Kile utakachopata itategemea na budget yako. Kama unataka kuweka dual CPUs na PCIe x16 slots mingi, motherboard ndio itaamua, and you'll pay through the nose.

The CPU sockets support only a few processor types/generations, so itakubidi umefanya investigeshens kikamilifu. Huwezi weka processor recent kwa motherboard ya kitambo and vice versa. Halafu pia motherboard itaamua kama utatumia Intel ama AMD tech. Ukiamua unataka processor ya Intel, the motherboard has to support it.

The motherboard pia itaamua kama utaweza ku-overclock CPU na RAM.

Hizo PCIe x16 slots zitaamua ni graphics card ngapi utaweka, ama uweke moja halafu utumie the rest for USB-C/USB 3.O ama NVMe drives. Utapata most motherboards have one x16 slot and three x4 ama x8 slots.

5. GPU

Hapa itakubidi uumie kidogo. The PC chip market iko na kasoro saa hii, halafu crypto miners wame-inflate market, so kupata the latest graphics cards ni shida and they are priced way above MSRP. Hii tutarudilia.

Ukitaka, you can go for older GPU models kama akina nVidia GTX 1070 ti ama 1080 with 8gb ram ama 1060 with 6gigs. RTX 2080 ama 2060 unaweza bahatika ukipata. Unaweza angalia Quadro K, M ama P series

Chukua at least graphics card ya 6Gb. enda na 16gb ukitaka some futureproofing. Games zote saa hii minimum zinachezea hapo kwa 8gb

6. CPU

Hapa sasa generation ndio kusema. Currently Intel wako 12th gen, so the newer the CPU, the more tech it supports, and the more expensive it is. CPUs older than 4th gen refresh don't support NVMe na USB-C. Ukitaka kujua generation angalia the first number kwa model number. 4810 inatoka 4th gen na 7700 inatoka 7th gen Ukipata an Intel processor.

The second number denotes capabilities. So 8 has more capabilities than 7, which lack virtualisation capabilities. The clock speeds can also be lower. The letter at the end denotes other capabilities. Kuna Intel 7700t na 7700k. The T is meant for fanless devices na K can be overclocked for higher clockspeeds, lakini wewe uwe unatumia Siberia kama cooling system.

Haiya, kuna 4, 6, 8 and 12 core processors. 6 core and above utapata from the 7th gen upwards. Halafu inategemea kama unataka i5, i7 ama i9. All habe different and overlapping capabilities. Core i5 za kitambo hazikuwa na hyperthreading na za siku hizi unaweza pata 6 core. i9 unapata hadi 12 core

Pande ya AMD, kuna Ryzen na Threadripper. Hii threadripper mostly ni za server lakini nani alisema hauwezi weka kwa nyumba hata kama iko na 74 cores?

Hapa kwa CPU na RAM, ni kama kuchagua gari. Unataka Land Cruiser 100 series iko na Inline 6 ama ile 300 iko na toys latest? Ama Prado na FJ Cruiser? Zote zitakutoa kwa matope, lakini moja iko na vitu latest na zile unataka.

7. RAM
Hapa ni rahisi, angalia processor umechagua how much ram it supports and what generation. Saa hii researchers wametufikisha DDR5, lakini DDR4 is still more than capable. Angalia clock speed iwe 1600+ mhz na ufananishe. Ukiweka ram tofauti, system itawork na speed ya the slowest.

8. Storage

NVMe ni the fastest, but expensive. Hii unaweka OS na zile software muhimu kwa 128gb. Next ni SSD, also very fast but still expensive. Angalia zile ziko na DRAM cache kama Samsung Evo. 500 Gb ni around 6-8k. Halafu unaweza weka 1tb HDD ya kustore porno yako ndani ya folder za games.

9. Monitor

Tafuta kitu ya 2K minimum 24 inches. Usijidanganye na ma 4k, ni upus tu, macho yako haitajua difference.

10. Miscellaneous

Kuna PCI sound card kama wewe ni audiophile. Headphone amplifier with DAC kama unapenda kutumia wired headsets.
Kuna bluetooth 5.0 na wi-fi 6


Rendering na CAD
Sasa hapa ni noma kiasi. Kama rendering ndio muhimu kati ya hizo mbili, enda na GeForce GPU. Kama CAD ndio muhimu, enda na Quadro.

Lakini ile utachoose haitamatter sana unless kama unataka kucheza game za high frame rates zaidi ya 120fps. Quadro italag visibly. Ukiwa mtu wa 60 fps kama mimi ya kuenjoy game tu, choice haitamatter.
 

QuadroK4000

Elder Lister
Zbook series huwa undercover sleepers wakati watu wanakimbilia Omen na Envy. Kama uko na hiyo pesa kimbilia, kwanza hapo kwa RTX 2070. Ukiangalia scalpers huku Kenya wanauza hraphics card kwa bei ya Mark X. Lakini hapo kwa storage wanaanishaje?

My current one ni Zbook 15 G2.
Nitaenda huko kuhakikisha... Thanks for your insights. Will keep you in the loop.
 
Top