Hiyo barabara huwa na straight zingine and minimal traffic, unaweza jipata uko above 120km/h bila ata kujua. RIP to themWaah, for such a powerful vehicle to be destroyed like that kwani walikuwa speed aje? Pole kwa family zao
120 alafu upate stalled msedes.Hiyo barabara huwa na straight zingine and minimal traffic, unaweza jipata uko above 120km/h bila ata kujua. RIP to them
Kwanza hizo metal sheet reflectors fake kwa lorry ni disaster every night but NTSA ignores enforcement.120 alafu upate stalled msedes.
regardless of that ukiwa na familia mtu hucheza at most 80, weka speed limit warning. I have also trained my kids, whenever my kid feels the speed is making her uncomfortable she normally shouts.Hiyo barabara huwa na straight zingine and minimal traffic, unaweza jipata uko above 120km/h bila ata kujua. RIP to them
Hakuna kitu kama powerful when sheet iron meets steel frame.Waah, for such a powerful vehicle to be destroyed like that kwani walikuwa speed aje? Pole kwa family zao
Worse still, if one had their legs on the dashboard. Tabia mbaya sana ambayo sraykweens wanapenda kufanya. Dere anaangalia side mirror ya left, ananona thighs on full display, roho inadunda na nguvu ikipeleka damu kwa mjuols, focus inapotea and that's the last both remember as they find themselves in paradisoLandcruiser kama hio ikipata accident, unaweza dhani imewekwa curtains, vile airbags hutoka like everywhere. Their safety is state of the art but on the flip side, they will kill you if you hadn't belted up.