Budspencer
Elder Lister
Hahahaha! Umenimaliza.Hata wazee wakitoka kukunywa busaa ama chang'aa hawaingiangi hao direct, wanapatrol shamba na kuzusha loudly eg kwa nini ng'ombe hazikai kushiba? This alerts wife kama ako na mtu ndani amhepeshe faster.