A day like this 14 yrs ago

Tommyleesparta

New Lister
So ilikuwa birthday ya thufataa ..mimi na maboyz tukapangaa party...this is muratina na mizinga za kenya cane na ma naps...it was on a Saturday ..

Sasa shida ilikuwa party tulikuwa tunaifanya hadi chee na magyal dem wa mtaa wetu walikuwa na curfew so my pal thiongo aka suggest niaje thufataa si tufike One stone pale mugethoo tushike ma rachet tu ji nice hadi morning...

Idea poa thiongo...tukafika club One stone iko gachie mugethoo... rachet zimejaa uko zingine hazina ata meno...thiongo akabonga nazo kuwa tuko na bash na mizinga tuende tuji nice hadi che....


Hao sisi kwa taxi ya mugethoo tukalipa 100ksh rachet nne kwa taxi na mimi na thiongo tukafika kejani ..tukapataa maboyz kejani light ni ile ya red so mizoga ziki ingia zinakaa amber rose ..

Tukaji nice fombe ilikuwa mingi na mizingaa kudance whole night hadi majirani wanapiga kelele...zilipo tushikaa tukawekaa ngwati kwa black and white tv na vcd player...

Wacha tuniseme iyo night watu walienjoy orgy hadi morning

Sasa time ya kuamka tuna amka around 11.30 am watu wametoka church na wakarudi.

Sema aibu izo mizoga hazina meno and are all old women... gachie wanaitwa cierude aka kiheti..

Sijawai kuwa embarrassed ivo

Nilikuwa naulizwa ureda kuhikia kiheti thufana.


Anyway wadau happy birthday to me today
 
Last edited by a moderator:
Top