30yrs Old Ordeal

Kender9

Chief Lister
I had an ordeal in the hands of my own mother 30yrs ago that I have failed to forget.
Back in the day kuna wale wazee walikua wakizunguka vitongoji duni wakinunua "chupa na debe" n old stainless steel sufurias.
So siku moja, new year nikapata idea cos kuna tusufuria twa mathey tumechapa and she had been using them na kuku , ducks and turkey zake I mean zetu, kuziekea maji ya kunywa.
The entrepreneur in the making in me ikaonelea, acha niuzie wadebe alaf ninunulie my mum tutatu hivi mpya as a new year present. Kupelekea mzee wa malimali, akachungua, akazipondaponda na kunipea three bob. Sema kupigwa na butwaa, akaniuliza kama nataka anirudishie sufuria zangu sikumjibu nikajua my fate was sealed. Hio jioni ile kichapo nilichapwa sitawahi sahau.
 
QuadroK4000

Afande si ungeuliza mwanzo atakupea ngapi... Ndio ufanye hesabu yako.

Anyhow, you had good intentions.
 
Giggz

New Lister
I had an ordeal in the hands of my own mother 30yrs ago that I have failed to forget.
Back in the day kuna wale wazee walikua wakizunguka vitongoji duni wakinunua "chupa na debe" n old stainless steel sufurias.
So siku moja, new year nikapata idea cos kuna tusufuria twa mathey tumechapa and she had been using them na kuku , ducks and turkey zake I mean zetu, kuziekea maji ya kunywa.
The entrepreneur in the making in me ikaonelea, acha niuzie wadebe alaf ninunulie my mum tutatu hivi mpya as a new year present. Kupelekea mzee wa malimali, akachungua, akazipondaponda na kunipea three bob. Sema kupigwa na butwaa, akaniuliza kama nataka anirudishie sufuria zangu sikumjibu nikajua my fate was sealed. Hio jioni ile kichapo nilichapwa sitawahi sahau.
Umenikumbusha vile alitufanyia the same tukasema round hio ametuweza, next time alikam we had collected and added some stones tukakuja ndani ya mabati. Alizichangamkia mbaya sana. Ubaya the nigga had tampered na hio scale yake so he still played us. We never sold him again.
 
Top