friends

  1. Ngimanene na Muchere

    When Friends Betray You

    Majamaa kuna huyu jamaa nilikuwa nafikiri ni beshte.... Amekataa kulipa deni ya doh nilikuwa nimemkopa ati nikanyangie io story tumetoka far nayeye..... Yani mujamaa amekaa hivi akaona urafiki yetu is worth so much Kshs..... Nimemwangalia hivi nikashindwa kile nitamwambia
Top