Search results

  1. J

    LAKINI MAKINDA WAWEZA KUYATWAA UWE NAYO.

    Ulishawahi kujiuliza ni nini Mungu anafundisha wana wa Israeli nyuma ya agizo hili? Tunalolisoma katika Kumbukumbu 22:6 Bwana aliwapa agizo, endapo mtu yeyote akipita, njiani au karibu na kichaka, kisha akakutana na kiota cha ndege koo kimelala pale karibuni, kinatekeka kirahisi, kiasi kwamba...
  2. J

    MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI.

    Kiburi ni nini? Kulingana na biblia kiburi “ni hali ya mtu kujiinua kifikra, na kuamini kuwa hahitaji msaada wowote kutoka kwingine”. Hali hii inaambatana na kudhihirisha tabia nyingine ndogo ndogo kama majivuno, matukano, au kuwadharau wengine, au kuwa na ujasiri kupitiliza na hata kukufuru...
  3. J

    USIWE NA TAMAA YA CHAKULA KINGINE.

    Nakusalimu katika jina lenye uweza la YESU KRISTO mwokozi wetu. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema ya kuifikia hivyo, nakukaribisha tuyatafakari pamoja maneno yake. Wana wa Israeli walipofika jangwani hawakujua kuwa watalishwa chakula cha aina moja tu, Mwanzoni waliifurahia ile mana...
  4. J

    BASI NIKAOGOPA, NIKAENDA NIKAIFICHA TALANTA YAKO.

    Shalom…Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe milele. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Lipo la kutafakarisha sana, katika ile habari ya yule mtu aliyesafiri, na kuwaita watumwa wake watatu na kumpa kila mmoja talanta ya Fedha wakafanyie biashara. Kama tunavyoijua habari yule wa kwanza aliyepewa...
  5. J

    UTHAMINI WITO WA PILI WA YESU ZAIDI YA ULE WA KWANZA.

    Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia.. Vipo vipindi viwili vya Bwana Yesu kutuita katika maisha yetu. Hebu tujifunze namna alivyowaita wanafunzi wake mara ya kwanza na mara ya pili, ili itusaidie na sisi kujua jinsi wito wa Mungu ulivyo.. Mara ya...
  6. J

    Mtu asiye na akili ni nani kibiblia?

    Kwa tafsiri za kidunia mtu asiye na akili ni mtu ambaye hawezi kufiriki, kuelewa, kuwasiliana, kupanga au kutatua matatizo. Hivyo, mwanadamu mwenye mtindio wa ubongo, anajulikana kama hana akili, mtu anayefeli darasani, anajulikana kama hana akili, mtu anayeshindwa na wenzake katika maisha...
  7. J

    Ni maswali yapi kati ya haya ungependa kupata majibu yake?👇🏽👇🏽

    1️⃣ Nini kinatokea baada ya kifo? 2️⃣Unyakuo ni nini? 3️⃣Kuna mbingu ngapi? 4️⃣Kuna hukumu ngapi? 5️⃣Kuna aina ngapi za upendo? 6️⃣ Unyenyekevu ni nini? 7️⃣Kaini alitolea wapi mke? 8️⃣Chukizo la uharibifu ni nini? 9️⃣ Vita vya Harmagedoni ni vipi? 🔟 Vitasa saba ni nini? *11* . Kuna...
  8. J

    “Si watu wa kutumia mvinyo sana”, je tunaruhusiwa kutumia mvingo kidogo?(1Timotheo 3:8).

    Jibu: Tusome.. Kufuatia mstari huu wengi wamejikuta wamezama katika ulevi. Pasipo kujua msingi wa andiko hili kwa undani. Tukisoma maandiko pasipo msaada wa Roho Mtakatifu tutajikuta tunaangamia badala ya kuponyeka.. Umeona?..andiko linaweza KUUA!!, shetani alijaribu kulitumia Andiko...
  9. J

    TALANTA NI NINI?

    SWALI: Talanta ni nini katika biblia.? JIBU: Katika agano la kale Talanta kilikuwa ni kipimo cha uzito cha juu zaidi ya vyote (kilitumiwa hususani katika kupima madini ya dhahabu na fedha)..Talanta moja ina uzito wa Kg 34.2. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi.. Kutoka 25:39, 38:25...
  10. J

    JIFUNZE KWA WALIOFANIKIWA.

    Tunapenda kumfikiria Mungu kama muumba, jambo ambalo ni zuri lakini upo wakati ambapo tunapaswa tumwone Mungu kama *MFANYAKAZI-MWENZA* . Tutazame jinsi alivyofanya kazi yake kwa muda wa wiki moja tu akamaliza mambo yake yote bila dosari yoyote, kazi ambayo mpaka sasa imedumu.Ili na sisi tuige...
  11. J

    MIKONO YENU IMEJAA DAMU

    Sulemani kwa uvuvio wa Roho alipewa kujua kati ya mambo sita yanayomchukiza Mungu, mojawapo ni mikono imwagayo damu za watu.(Mithali 6:17). Na sehemu nyingi sana katika maandiko utaona Bwana akiwakemea watu wake kwa dhambi hii ya umwagaji damu, kwamfano ukisoma hapa utaona anasema, Isaya 1:15...
  12. J

    JE SHETANI ANAWEZA KUMWABUDU MUNGU?

    Ulishawahi kujiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa shetani kwenda kujihudhurisha mbele za Mungu wakati anataka kumjaribu Ayubu?.. Kwanini amfuate Mungu kwanza, na asifanye mwenyewe.. Ipo siri kubwa shetani aliigundua ambayo na wewe unapaswa uijue, ili uweze kufanikiwa katika maisha yako. Fungua...
  13. J

    Je! Shetani anaweza kuumba, kama Mungu?

    1️⃣ *SWALI : Je! Shetani anaweza kuumba, kama Mungu? Kama sio Mbona kipindi cha Farao, tunaona wale waganga waliweza kuleta vyura na nyoka, kama alivyofanya Musa. Je wale vyura aliwaumbaje, uhai alitolea wapi kama sio Mungu?* *2️⃣SWALI : Je! Jini au pepo ni roho tu au pia wana miili...
  14. J

    *FANYA KAMA UONAVYO VEMA.*

    https://wingulamashahidi.org/2022/03/15/fanya-kama-uonavyo-vema/ *FANYA KAMA UONAVYO VEMA.* Moja ya mambo ambayo yanadhoofisha karama, au yanamchelewesha mtu kuifanya kazi ya Mungu, ni tabia ya kusubiria Mungu amwambie jambo Fulani, au Mungu amwoneshe jambo kwanza. Watu wengi sana leo hii...
  15. J

    *Kigao ni nini? Na Je kinafunua nini kwa agano jipya?

    Kigao ni aina ya silaha inayofanana na ngao, Inachokitofautisha kigao na ngao ni kwamba kigao ni kidogo na chepesi, rahisi kubebeka, na huwa kinafungwa mkononi, lakini ngao huwa ni kubwa na nzito kidogo. Mara nyingi katika vita vikubwa vya zamani, askari walikuwa wanakwenda vitani na ngao...
  16. J

    USIWE ADUI WA BWANA

    Kuna siku Fulani nikiwa nasafiri kwenye gari, nikamsikia mtu fulani kwenye redio akisema “Rafiki wa adui yako ni Adui yako”..akimaanisha kuwa “mtu yeyote ambaye atashirikiana na yule mtu anayekupinga wewe, au anayekuchukia au anayekupiga vita basi huyo naye pia ni adui yako”..Haijalishi hakujui...
  17. J

    UNYAKUO WA KANISA

    Una habari kuwa tunaishi katika nyakati ambazo siku yoyoye Kristo anarudi?..Je umejiwekaje tayari? Kumpokea.. Kulingana na utabiri ya kibiblia Israeli tayari imeshakuwa taifa huru..siku yoyote injili inarudi kwao, na huku tutakuwa hatuna neema tena. https://rejeabiblia.com
  18. J

    *JINSI YA KUMSIKIA MUNGU, NA KUPOKEA MAFUNUO AU JUMBE KUTOKA KWAKE*

    Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima, ambayo pekee ndio yanayoweza kutufanya sisi tuwe huru kweli kweli hapa duniani( Yohana 8:32). Leo tutajifunza, kanuni mojawapo ya kibiblia ambayo itatusaidia sisi kuweza kupokea jumbe, au mafunuo, au...
  19. J

    SIKU YA UNYAKUO ITAKUKUTAJE?

    Shalom.Jina la Bwana wetu Yesu Krito libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia..Je unajua kuwa kuna siku Kristo atakuja kuwachukua wateule wake? Na kwenda nao mbinguni?..Je unajua watakaokwenda mbinguni ni wachache sana?…Biblia inasema njia ile imesonga na mlango ni mwembamba?.. Mathayo 7:14 “ Bali...
  20. J

    *MTI UANGUKAPO, PAPO HAPO UTALALA

    Mhubiri 11:3b “…… Na mti ukianguka kuelekea kusini, au kaskazini, Paangukapo ule mti, papo hapo utalala.” Maisha yetu yanafananishwa na mti, na tunajua siku mti unapoanguka aidha kwa uzee, au kwa kukatwa, kuanguka kwake kunategemea sana jinsi ulivyokuwa. Hata kama ni mnazi unaoonekana umenyooka...
Top