jamaa kakosea kutuma sms, badala ya kuituma kwa hawara wake katuma kwa mama mkwe! Ilikuwa inasema hivi:-
UNAJUA NAKUPENDA SANA! NIMEVUMILIA NIMESHNDWA NIMEONA LEO NIKWAMBIE YA MOYONI. NAOMBA TUWE WAPENZI, MKE WANGU HAWEZI KUJUA.
Wakati anatafakari afanye nini likaja jibu kutoka kwa mama mkwe:-...