Ushawahi gongana na mtu, zile zakuhagiana?. Baro iko very wide na mko tu nyinyi wawili. I don't know what happens, but brains nikama huinterlock. Jamaa akimove left, unamfollow left, right unamfollow right. Hivyo tu mpaka mnagongana. Inabaki: sorry bro, sorry bro.
Hiyo kitu iko na 50% to that...