Kuna time theru zilituhangaisha gishagi, watu wakashika moja, wakaipaka paint ya blue na wakaiachilia, zile zingine kuona a blue thing inakuja, ivo ndio zilitoroka na haizijawai rudi tena
mnakemea wenye wameendea mate kwa soda stadium na wengine wenu wako glued kwa that occasion na remote zao kwa nyumba in the name of a holiday well spent