Insufferable kids huwa siezi entertain karibu na mimi... .I hate noisy kids ama wale hupenda kusumbua mtu ...sijui wakupandilie mara wakutoe kofia .....idk what i can do to a kid vandalizing my car....nampea ngoto ya mtu mzima in name of 'discipline'....