TIME NILIKUA HOUSEGIRL Eps1
Mimi kuna venye sikuwai shikanisha kitu pale highschool, kwanza Mao bt nsawa tu.Nilivumilia hadi nkamaliza bt results za KCSE
kutoka, nko na C mina enyewe I tried cz nlikua natarget E.Two weeks later, 1D yangu ikatoka, neighbour wangu akaniuliza kama
naweza taka...