Matiang'i na kinjana yake..
Ngirici hakuwachwa nyuma, ndio huyu na musichana yake..
ongeza Ole Kaparo...
OCS watakuwa na shida kubwa sana! imagine unapanga mutoto ya Matiang'i night patrol anakushow haendi na anakuita meffi! ama mutoto ya Ngirici anaingia job akiwa mlevi juu ametoka...