Search results

 1. J

  Biblia inaposema hakitaingia kinyonge ina maana gani?

  SWALI; Naomba kuuliza katika ufunuo 21:27 kwamba hakitaingia kilicho kinyonge hili neno kinyonge linamaanisha nini? Je ni watu dhaifu mfano vilema? Ufunuo wa Yohana 21:27 [27]Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale...
 2. J

  NAO WAKADHANI YA KUWA YUMO KATIKA MSAFARA

  Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe ndugu yangu.. Nyakati hizi za mwisho tunazoishi sasa, ni nyakati ambazo zinakithiri kuwa na mseto wa watu wengi wanaojiita wakristo, leo hii ni rahisi kuona hata msanii wa kidunia anaimba nyimbo za Injili, ni rahisi kuona, mashoga wanatoa michango ya kujenga...
 3. J

  FAHAMU MAJIRA ULIYOPO NA NINI UNAPASWA UWE NACHO.

  Kiwango cha uelewa kuhusu wokovu au Mungu waliokuwa nacho Kiwango cha uelewa, hutupaswi tuwe nacho sisi kwa wakati huu, tunapaswa tuende zaidi ya pale, Hata mambo ya kidunia yanatufundisha, elimu ya kidato cha 4 aliyokuwa nayo mtu wa mwaka 1960, Si sawa na elimu ya kidato cha 4 aliyonayo mtu wa...
 4. J

  Kuwaogopa wanadamu huleta mtego, .

  SWALI: Naomba kufahamu maana ya mstari huu” Mithali 29:25 “Kuwaogopa wanadamu huleta mtego, ..” Ni mitego gani hiyo hukupata iwapo utamwogopa mwanadamu?. JIBU: Ukiendelea kusoma inasema.. Mithali 29:25 [25]Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama. Hofu ya kwamba...
 5. J

  MAKABURI YAKAFUNUKA; IKAINUKA MIILI MINGI YA WATAKATIFU WALIOLALA

  Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu na mwokozi wetu Yesu Kristo, Mfalme wetu, Karibu tujifunze maneno ya uzima. Utakumbuka huduma ya Bwana wetu iligawanyika katika sehemu kuu tatu, Ya kwanza, ilikuwa ni hapa duniani, Ya pili ni Kuzimu Na ya tatu ni mbinguni. Lakini wengi wetu...
 6. J

  KIBIRITI ni kitu gani? kama kinavyozungumziwa kwenye maandiko?

  Kibiriti tofauti na kinavyojulikana leo kwamba, ni kipande kidogo cha boksi kilichojaa chiti zinazotumika katika kuwashia moto. Lakini tafsiri halisi ya “kibiriti” au “kiberiti” sio hiyo. Kibiriti ni aina ya mawe, yanayopatikana duniani, yajulikanayo kwa jina hilo la kibiriti au Salfa..Kwa...
 7. J

  KWANINI NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA? (Sehemu ya 1: Upande wa wanaume)

  Katika siku hizi za mwisho, migogoro ya kindoa imekuwa ni mingi sana, kiasi kwamba ndoa kudumu hata mwaka mmoja, ni jambo la kushukuru sana. Kila kukicha mikwaruzano, hakuna amani, kila mmoja amemchoka mwenzake. Mpaka wengine kudhani huyo mwenzi aliyemuoa au aliyeolewa naye halikuwa chaguo...
 8. J

  Jehanamu ni nini?

  Jehanamu au Jehanum ni Neno lenye chimbuko la kiyunani Gehenna, ambalo limetafsiriwa kutoka katika lugha ya kiyahudi ge-hinnom Ikiwa na maana bonde la mwana wa Hinomu.. Hili ni eneo lililokuwa kusini mwa mji wa Yerusalemu, lililojulikana kama Tofethi ambao watu wasiokuwa wanamcha Bwana...
 9. J

  JIPE MOYO MKUU

  Ukimtafakari yule mwanamke ambaye alitokwa na damu kwa muda wa miaka 12, na kwenda kushika pindo la vazi lake, unaweza kudhani aligundua jambo la maana sana machoni pake, au machoni pa watu waliomfuata Yesu, Jibu ni la!, Kwa namna ya kawaida kuacha kutafuta Uso wa Yesu, unakimbilia nguo, tena...
 10. J

  NUNUA MAJI YA UZIMA.

  Maji ya uzima, tunayoyasoma katika biblia sio maji ya chemchemi, wala ya bombani, wala kisimani, wala ya mto Yordani ulioko kule Israeli na wala sio maji ya upako, yanayouzwa leo huku na huko. Maji ya uzima ni jambo lingine la kiroho ambalo leo ningependa tuliangalie kidogo. Katika kitabu cha...
 11. J

  NINI TUNAJIFUNZA KWA THEOFILO MTUKUFU?

  Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia neno la Mungu wetu, ambalo ni taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu. Leo tutajifunza juu ya mtu mmoja aliyeitwa Theofilo, ambaye biblia haijaeleza habari zake kwa urefu lakini amehusika pakubwa sana katika kuieneza...
 12. J

  UTAYAFIKIAJE MANENO SAFI YA MUNGU?

  Watu wengi wanasoma biblia lakini si wote wanayafikia maneno SAFI YA MUNGU. Jambo ambalo watu wengi hatujui ni kuwa tunadhani, tunapoisoma biblia kwa mara moja, tayari tumeshayafikia “maneno safi ya Mungu”, yale yenye uwezo wa kubadilisha Maisha yetu katika ubora wote. Ni vizuri ukafahamu hii...
 13. J

  MWAKA WA BWANA ULIOKUBALIWA

  Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Leo ni siku nyingine Bwana ametupa neema mimi na wewe kuiona, hivyo ni wajibu wetu kiutimia vizuri siku yetu kwa kujifunza maneno yake ambayo ndio nuru yetu na uzima wetu hapa duniani kila siku. Leo kwa neema za Bwana tutajifunza juu ya huu mwaka wa...
 14. J

  AKIJUA YA KUWA ANA WAKATI MCHACHE TU”.

  Ufunuo 12:12 “Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu”. Shalom, katika mistari hiyo biblia inatuonyesha kuwa shetani naye anayo kalenda ya muda kichwani pake...
 15. J

  MADHARA YA KUTAFUTA ISHARA.

  Ni kweli kitendo cha Kufa na kufufuka kwa Bwana Yesu kilikuwa kimeshatabiriwa hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, kwamba Yesu atakufa kwa ajali ya dhambi za ulimwengu wote na kufufuka, Lakini pia tujiulize kwanini kufufuka kwake kulikawia kidogo, mpaka zikafika siku tatu, au kwanini...
 16. J

  EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA

  Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima ya Mungu wetu, Karibu sana. Jambo ambalo tunapaswa tuwe makini nalo, ni kuchunguza chunguza au kupeleleza peleleza ahadi ambazo Mungu anatuahidia katika maisha yetu. Sio kwamba kupeleleza ni kubaya...
 17. J

  MUNGU HAONI SHIDA KUMUHAKIKISHIA MWOVU ULINZI.

  Baada ya Kaini kumuua ndugu yake, na Mungu, kumlaani kwa laana ile ya kwamba atakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani, utaona alimwomba Bwana ampunguzie adhabu yake, na baada ya kupunguziwa kwa kutiwa alama, haikuishia hapo, bado Mungu alimuhakikishia usalama mwingine wa juu Zaidi. Tusome...
 18. J

  Ni kwa namna gani Bwana amekuja kuwafanya wanaoona wawe vipofu?

  Jibu: Ukisoma habari za Bwana Yesu utaona kuwa alikubaliwa na watu wanyonge na wenye dhambi lakini alikataliwa na watu wa Imani na wa dini (yaani Makuhani, waandishi, mafarisayo pamoja na masadukayo)..ambao wao walikuwa wanajiona wenye haki.. Sasa ili tuelewe vizuri hebu tujifunze katika mfano...
 19. J

  IEPUKE GHADHABU YA MUNGU.

  Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa hasira ya Mungu au ghadhabu ya Mungu, inakuja au inachochewa sana na watu waliomwacha Mungu, wa ulimwengu huu, yaani watu ambao hawajamwamini Mwokozi Yesu. Hiyo ni kweli kabisa, lakini nataka nikuambia kuwa hiyo haichangii pakubwa kuimwaga ghadhabu ya...
 20. J

  KIFAHAMU KIGEZO CHA KUSAMEHEWA NA MUNGU.

  Shalom nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Leo nataka tujifunze jambo la muhimu sana ambalo Bwana anataka tufahamu tunapokwenda mbele zake hususani katika kumwomba msamaha au rehema..hili ni jambo la muhimu sana..naomba usome hadi mwisho. Kwa kawaida hakuna mtu asiyemkosea...
Top