Stop club photography

Nameless

Elder Lister
Siku hizi huwezi enda kukunywa tembo zako mbili kwa bukla ukiwa na imani.

Joints wamejaza photographers na picha zao huwa wanaweka kwa social media zote bila ata consent.

Sasa kama huyu senator anaficha uso labda ata ni Pastor Kakamega ama ameambia wife ako workshop kumbe ka slay queen ndio kana empty testicles.
1643106054243.png

Shait!
 
Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Siku hizi huwezi enda kukunywa tembo zako mbili kwa bukla ukiwa na imani.

Joints wamejaza photographers na picha zao huwa wanaweka kwa social media zote bila ata consent.

Sasa kama huyu senator anaficha uso labda ata ni Pastor Kakamega ama ameambia wife ako workshop kumbe ka slay queen ndio kana empty testicles.
View attachment 52619
Shait!
Sasa wakiacha, tutajua sray huenda wapi pia sisi tuende tukarogote huko
 
X-TRAIL

Elder Lister
Siku hizi huwezi enda kukunywa tembo zako mbili kwa bukla ukiwa na imani.

Joints wamejaza photographers na picha zao huwa wanaweka kwa social media zote bila ata consent.

Sasa kama huyu senator anaficha uso labda ata ni Pastor Kakamega ama ameambia wife ako workshop kumbe ka slay queen ndio kana empty testicles.
View attachment 52619
Shait!
it should stop alafu ako na kaslay hii ni chida
 
Top