Recent content by uwesmake

  1. U

    The government promised single digit borrowing

    There will be massive printing of money exactly 3 months after the 2027 elections.
  2. U

    Genuine Help

    Stivo Simple Boy should be given a normal job as a cleaner or a support staff by those claiming they want to help him.
  3. U

    Ruto lifts six-year moratorium on logging- It will generate heat!

    trees are a renewable source of timber and fuel.
  4. U

    A Question on Succession

    Remaining son has a duty to settle his late brothers family, but they cannot get an equal share. Remaining son aache tamaa, he pushed his own brother and father to their early deaths. First round alipewa 15 acres wengine wakipata 5 acres na bro wake akipata worthless land huko Nakuru. Sasa...
  5. U

    Kenyans are buying cars like mandazi

    Kenyans wanazaana kama panya
  6. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    wacheni kupinga kila kitu bila maarifa. Electrician mwenye unamuita kwako kwa nyumba kutengeza stima lazima awe licenced, lakini mtu ako na power plant hafai kuwa licensed? Tena licence enyewe ni 20k sio eti ni pesa mingi, io ndo mnapinga? Power plant ya 1.5 billion hawataki kulipa license ya 20k?
  7. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    kwani io licence mnapinga ivo mtu analipa billions? Regulator atakuja akague mitambo yako aone sio hatari kwa usalama wa public na akupatie cheti, uachwe ukifanyia stima yako.chenye unataka. Kibanda ya chai na mandazi kando ya barabara hukaguliwa na watu wa public health na kupewa cheti sababu...
  8. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    They sell extra power to Kenya power, they are licensed. They pay tax for the extra they sell to kenya power. Those power plants cost them over a billion shillings. They have complied with the law.
  9. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    EPRA is only concerned by those producing 1MW and above, not people producing power for domestic consumption
  10. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    Shopkeepers wa kawaida turkana wanalipia licence kufanya biashara zao? Kwa nini multinational IPP's wasilipe? Kama unafanya biashara kwa nini hutaki kufuata sheria?
  11. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    Basically mnasema sasa multinational IPP's waache kulipa ushuru, wafanye vitu zao bila ata kuchukua license. Mtu wa nduthi anafaa kuwa na licence lakini wa multimillion shilling business hafai kuwa na license na hafai kulipa ushuru.
  12. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    Those generators will consume fuel worth nearly 20k per hour, can only be used for emergency purposes. You want to run a business consuming diesel worth ksh. 500,000 per day without a license?
  13. U

    Kufuata Sheria - EPRA edishen

    Unajua 1MW inatoshaje? ukijua utaelewa kwa nini license inahitajika. 1MW is power consumed by over 10,000 households, na unataka kufanya biashara kama io bila license? You need 10's of millions to set up a 1MW power plant, not something you can do with a backup generator
  14. U

    Misuse of state agencies

    That state agency should be disbanded.
Top