Recent content by Fantasy Kid

  1. Fantasy Kid

    Highschool part 4

    *Life in highschool part 4🥴* _Na pia nguo za ndani muangalie.. these students ni wakora saana_ yule mwalimu mwenye umama akasema.. Saa ndo nikashangazwa na huyu mwanaume... Halafu ujue mdomo wangu hukosangi cha kusema.. that's why am enemy of the people... *Na wenye hu wetdream* Muriiera...
  2. Fantasy Kid

    Adult(18+) Mapenzi yalinikoroga kinoma.

    Nitajaribu.. like my post
  3. Fantasy Kid

    Good morning everyone

    Good morning everyone
  4. Fantasy Kid

    TOTO SI TOTO

    Kaschana sio mrembo wa sura tu. Huko nyuma amebeba zinga. Ukimwona macho yatakutoka pima. Kwa Nini? Kula mbuzi anzia kwenye kamba. Uso wake humeremeta kama aliyemwagiwa mafuta. Sio bure kila mja hutamani kumwona. Huwapandisha wanaume mizuka kwa sauti yake nyororo ivutiayo kila aisikiaye. Ila...
  5. Fantasy Kid

    Adult(18+) Mapenzi yalinikoroga kinoma.

    Alikuwa mrembo kwelikweli. Binti wa uswahilini asiye na doa wala toa. Ngozi yake iliwatia wanaume kiwi machoni,kila alipoenda kukoga mtoni. Agnes alijua kwamba urembo wake ulikuwa unatuzuzua. Alijua kwamba alipendwa na wengi, hivyo basi akazidisha madaha yake. Kumwomba hata maji ilikuwa taabu...
Top