Mwathani!... Borris Johnson ako nayo.

Kimakia

Lister
British prime minister Boris Johnson confirmed to have the Corona virus.
Hii kitu haitambui maskini wala tajiri., Wenye cheo na mamlaka wala watumwa!

Tubini thambi siku ya kiama iko karibu.
Niaje Kabuda,saa hii uko na baby mommas wangapi?

Hata hivyo wacha hiyo nyang'au ipatikane nayo.Ilidhani Corona ni ugonjwa ya macho ndogo na wale machokoch wa Italy pekee
 
Top