T
Thogithi cia kanyau
Guest
Why? Why? Why? And how? This is too much. Na kwa nini avae socks juu ya kiatu? Ni style mpya ama? @The.Black.Templar @Meria
Kweli ako na weweKila nyani na starehe zake
I would guess it's for improved aerodynamics.Na kwa nini avae socks juu ya kiatu?
Hata hio nguo tight? Na kwani wanaenda mbio inakaaje?I would guess it's for improved aerodynamics.
Hata Recho wa Ruto niliona wakisema hio baiskeli yake ni ya 1.5M anga wireless gear, inabadilishwa na Bluetooth na kwa nini gari haina hio technology?