Nameless
Elder Lister
Ya kwanza ni kwa watu wa mastima such as @QuadroK4000.. arial gani ya TV poa? Niko na digital TV so no need for decoder.
Ya pili kwa watu wa magari kama @Introvert na @zapp_brannigan ni kama kuna alternative poa ya WD-40?
Ya pili kwa watu wa magari kama @Introvert na @zapp_brannigan ni kama kuna alternative poa ya WD-40?