Tembea kenya

Elgin

Elder Lister
Mwarim ako wapi? Am attending a games clinic somewhere, kulala ni huku leo, lazima nisake kamtu. Nishapark bakora yangu.
20200131_185538.jpg
20200131_184332.jpg
20200131_184304.jpg
20200131_184302.jpg
nishaegesha...
 

zapp_brannigan

I am not a Futurama fan .
Kwa first photo is it underground water ama septic ?
Kama ni septic be very cautious order beer na food then jifungie kwa room .Thank me tomorrow.
 

Elgin

Elder Lister
7k per diem @Elgin anakunywa 3k na maraya, anapatia maraya 1.5k, anaweka ngata ya 0.5k na wanalala lodgo ya 1k wakishuhudiwa na kunguni na mende. Balance ya 1k ananunua kilo ya nyama ya mifupa, ka-Jogoo na mafuta za kumfunga Mrs. @Elgin na vifaranga macho.

These are the men molding your children. :D
Hehe, ngata nikatop up 1k, gari ikakuwa full tena. Keja kweli hapa ni thao but very nice kuna hata dstv. 5k hata siwezi maliza na malaya ndugu.
 
Top