Accident Alert: Kibarani

Meria

Elder Lister
Staff member
Dereva mmoja wa gari ndogo amenusurika kifo baada ya kuangukiwa na kasha iliyokuwa imebebwa na trela eneo la Kibarani barabara kuu ya kutoka Mombasa kwenda Changamwe. Wakaazi wakivaamia na kupora
EvEFuA8WgAAhFLj.jpg
154544671_10217569770865680_6102426427286059573_n.jpg
 
Last edited:

Kender9

Elder Lister
whatever was inside.
all container carrying Tinga/ Tractors with no twist locks, reflectors & brake lights should be removed off our roads.
Lakini tunajua niza nani, he is untouchable
Hua naona zinakaa tu an accident in waiting with their unstable looking skeleton of and wobbly two axles.
 
Top