Mwalimu-G
Elder Lister
Naona Fidel in the pics and Maduro in only the second one.Diego Maradona na rafiki yake Rais wa Sasa wa Venezuela Nicholas Maduro pamoja na rafiki yake mwingine ambae kwa sasa ni marehemu bwana Fidel Castro ruz wa Cuba. Kuna picha hapo huyo Maradona akiwa na nguo iliyo na picha ya mwanamapinduzi Ernesto El Che guevara
View attachment 26158View attachment 26159View attachment 26160View attachment 26161
Last edited: